1 Wafalme 21:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Wakampelekea Yezebeli habari, wakasema, Nabothi amepigwa kwa mawe, amekufa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Nabothi amekwisha uawa kwa kupigwa mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Nabothi amekwisha uawa kwa kupigwa mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Kisha, Yezebeli akapelekewa habari kwamba Nabothi amekwisha uawa kwa kupigwa mawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha wakatuma ujumbe kwa Yezebeli, kusema, “Nabothi amepigwa mawe na amekufa.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha wakatuma ujumbe kwa Yezebeli, kusema, “Nabothi amepigwa mawe na amekufa.” Tazama sura |