1 Wafalme 20:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mfalme wa Israeli akajibu, akasema, Ni kama ulivyosema, bwana wangu, mfalme; mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Naye mfalme wa Israeli akajibu, “Bwana wangu mfalme, ulivyosema ni sawa: Mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo ni vyako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Naye mfalme wa Israeli akajibu, “Bwana wangu mfalme, ulivyosema ni sawa: Mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo ni vyako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Naye mfalme wa Israeli akajibu, “Bwana wangu mfalme, ulivyosema ni sawa: mimi ni wako, na vyote nilivyo navyo ni vyako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Mfalme wa Israeli akajibu, “Iwe kama usemavyo, bwana wangu mfalme. Mimi na vyote nilivyo navyo ni mali yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Mfalme wa Israeli akajibu, “Iwe kama usemavyo, bwana wangu mfalme. Mimi na vyote nilivyo navyo ni mali yako.” Tazama sura |