1 Wafalme 20:37 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC37 Ndipo akaona mtu mwingine, akasema, Nipige, nakusihi. Yule mtu akampiga, hata kumpiga na kumtia jeraha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema37 Kisha, huyo mwanafunzi akamkuta mtu mwingine, akamwambia, “Nipige tafadhali.” Mtu huyo akampiga na kumjeruhi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND37 Kisha, huyo mwanafunzi akamkuta mtu mwingine, akamwambia, “Nipige tafadhali.” Mtu huyo akampiga na kumjeruhi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza37 Kisha, huyo mwanafunzi akamkuta mtu mwingine, akamwambia, “Nipige tafadhali.” Mtu huyo akampiga na kumjeruhi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu37 Nabii akamkuta mtu mwingine na kumwambia, “Nipige, tafadhali!” Kisha yule mtu akampiga na kumjeruhi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu37 Nabii akamkuta mtu mwingine na kumwambia, “Nipige tafadhali.” Kisha yule mtu akampiga na kumjeruhi. Tazama sura |