Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 20:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

36 Akamwambia, Kwa sababu hukuisikiliza sauti ya BWANA, angalia, mara ukitoka kwangu simba atakuua. Na mara alipotoka kwake, simba alimwona, akamwua.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Naye akamwambia, “Kwa kuwa umekataa kutii amri ya Mwenyezi-Mungu, basi, mara tu utakapoachana nami, simba atakuua.” Na kweli, mara tu alipoachana naye, akakutana na simba, akamuua.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii Mwenyezi Mungu, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumuua.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kwa hiyo yule nabii akasema, “Kwa sababu hukumtii bwana, mara tu tutakapoachana utauawa na simba.” Na baada ya yule mtu kuondoka, simba akatokea na kumuua.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 20:36
4 Marejeleo ya Msalaba  

Na yule nabii aliyemrudisha njiani alipopata habari, akasema; Ndiye yule mtu wa Mungu, aliyeiasi kauli ya BWANA; kwa hiyo BWANA amempambanisha na simba, simba akamrarua, akamwua, sawasawa na neno la BWANA alilomwambia.

Ndipo akaona mtu mwingine, akasema, Nipige, nakusihi. Yule mtu akampiga, hata kumpiga na kumtia jeraha.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo