1 Wafalme 20:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Akasema, Kwamba wametoka kwa amani, wakamateni wa hai; au kwamba wametoka kwa vita, wakamateni wa hai. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Ben-hadadi akawaambia, “Wakamateni wakiwa hai. Hata kama wanakuja kwa vita au kwa amani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Ben-hadadi akawaambia, “Wakamateni wakiwa hai. Hata kama wanakuja kwa vita au kwa amani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Ben-hadadi akawaambia, “Wakamateni wakiwa hai. Hata kama wanakuja kwa vita au kwa amani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Akasema, “Ikiwa wamekuja kwa amani, wakamate wakiwa hai; ikiwa wamekuja kwa vita, wakamate wakiwa hai.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Akasema, “Ikiwa wamekuja kwa amani, wakamate wakiwa hai; ikiwa wamekuja kwa vita, wakamate wakiwa hai.” Tazama sura |