1 Wafalme 2:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Mbona basi hukukishika kiapo chako kwa BWANA, na amri niliyokuagiza? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Mwenyezi-Mungu na kutojali amri niliyokupa?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Mwenyezi-Mungu na kutojali amri niliyokupa?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Mbona basi, umevunja kiapo chako kwa Mwenyezi-Mungu na kutojali amri niliyokupa?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa Mwenyezi Mungu na kutii amri niliyokupa?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Kwa nini basi hukutunza kiapo chako kwa bwana na kutii amri niliyokupa?” Tazama sura |