Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wafalme 2:36 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

36 Tena, mfalme akatuma watu akamwita Shimei, akamwambia, Ujijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae ndani yake, wala usitoke humo kwenda mahali popote.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Halafu mfalme akaagiza Shimei aitwe, akamwambia, “Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae hapa bila kwenda mahali pengine popote pale.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Halafu mfalme akaagiza Shimei aitwe, akamwambia, “Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae hapa bila kwenda mahali pengine popote pale.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Halafu mfalme akaagiza Shimei aitwe, akamwambia, “Jijengee nyumba humu Yerusalemu, ukae hapa bila kwenda mahali pengine popote pale.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Kisha mfalme akatuma ujumbe kwa Shimei na kumwambia, “Ujijengee nyumba huko Yerusalemu uishi huko, lakini usiende mahali pengine popote.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Kisha mfalme akatuma ujumbe kwa Shimei na kumwambia, “Ujijengee nyumba huko Yerusalemu uishi huko, lakini usiende mahali pengine popote.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 2:36
7 Marejeleo ya Msalaba  

Naye mfalme akasema, Ageukie nyumbani kwake, asinione uso wangu. Basi Absalomu akarejea nyumbani kwake, asimwone uso mfalme.

Absalomu akakaa miaka miwili mizima katika Yerusalemu; asimwone uso mfalme.

Basi mfalme Sulemani akatuma watu, wakamteremsha toka madhabahuni. Naye akaja, akamwinamia mfalme Sulemani; naye Sulemani akamwambia, Nenda nyumbani kwako.

Mfalme mwenye hekima huwapepeta wasio haki; Naye hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao.

Mfalme aketiye katika kiti cha hukumu, Huyapepeta mabaya yote kwa macho yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo