Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 2:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

34 Ndipo Benaya, mwana wa Yehoyada, akapanda, akampiga, akamwua; naye akazikwa katika nyumba yake mwenyewe iliyoko nyikani.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

34 Basi, Benaya mwana wa Yehoyada, akaenda hemani, akamuua Yoabu ambaye alizikwa shambani mwake, nyikani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

34 Basi, Benaya mwana wa Yehoyada, akaenda hemani, akamuua Yoabu ambaye alizikwa shambani mwake, nyikani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

34 Basi, Benaya mwana wa Yehoyada, akaenda hemani, akamuua Yoabu ambaye alizikwa shambani mwake, nyikani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

34 Basi Benaya mwana wa Yehoyada akakwea, akamgonga na kumuua Yoabu, naye akazikwa katika shamba lake mwenyewe jangwani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

34 Basi Benaya mwana wa Yehoyada akakwea, akampiga na kumuua Yoabu, naye akazikwa katika nchi yake mwenyewe katika jangwa.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 2:34
8 Marejeleo ya Msalaba  

Mfalme Sulemani akatuma kuwa jambo hilo liwe mkononi mwa Benaya mwana wa Yehoyada: naye akampiga, hata akafa.


Mfalme akamwambia, Fanya alivyonena, umpige, ukamzike; ili uniondolee mimi na nyumba ya babangu damu aliyoimwaga Yoabu bure.


Basi mfalme akamwamuru Benaya, mwana wa Yehoyada; naye akatoka, akampiga, hata akafa. Nao ufalme ukawa imara mkononi mwa Sulemani.


Manase akalala na babaze, akazikwa katika bustani ya nyumba yake mwenyewe, yaani, bustani ya Uza. Na Amoni mwanawe akatawala mahali pake.


Basi Manase akalala na babaze, wakamzika nyumbani mwake; na Amoni mwanawe akatawala mahali pake.


Siku zile aliondokea Yohana Mbatizaji akihubiri katika nyika ya Yudea, na kusema,


Huko nyikani, Beth-araba, na Midini, na Sekaka;


Wakamwambia, Tumeshuka ili kukufunga, tupate kukutia katika mikono ya Wafilisti. Samsoni akawaambia, Niapieni ya kwamba ninyi wenyewe hamtaniua.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo