1 Wafalme 2:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Hivyo Sulemani akamtoa Abiathari asiwe kuhani wa BWANA; ili alitimize neno la BWANA, alilonena juu ya nyumba ya Eli katika Shilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Basi, mfalme Solomoni akamfukuza Abiathari, asiwe kuhani wa Mwenyezi-Mungu; hivyo likatimia neno alilosema Mwenyezi-Mungu huko Shilo, juu ya Eli na ukoo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Basi, mfalme Solomoni akamfukuza Abiathari, asiwe kuhani wa Mwenyezi-Mungu; hivyo likatimia neno alilosema Mwenyezi-Mungu huko Shilo, juu ya Eli na ukoo wake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Basi, mfalme Solomoni akamfukuza Abiathari, asiwe kuhani wa Mwenyezi-Mungu; hivyo likatimia neno alilosema Mwenyezi-Mungu huko Shilo, juu ya Eli na ukoo wake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Hivyo Sulemani akamwondoa Abiathari kwenye ukuhani wa Mwenyezi Mungu, akilitimiza neno la Mwenyezi Mungu alilokuwa amenena huko Shilo kuhusu nyumba ya Eli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Hivyo Sulemani akamwondoa Abiathari kwenye ukuhani wa bwana, akilitimiza neno la bwana alilokuwa amenena huko Shilo kuhusu nyumba ya Eli. Tazama sura |