1 Wafalme 2:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Mfalme Sulemani akatuma kuwa jambo hilo liwe mkononi mwa Benaya mwana wa Yehoyada: naye akampiga, hata akafa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Ndipo mfalme Solomoni akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adoniya, akamuua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Ndipo mfalme Solomoni akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adoniya, akamuua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Ndipo mfalme Solomoni akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada; naye akamwendea Adoniya, akamuua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Hivyo Mfalme Sulemani akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akampiga Adoniya akafa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Hivyo Mfalme Sulemani akatoa amri kwa Benaya mwana wa Yehoyada, naye akampiga Adoniya akafa. Tazama sura |