Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 2:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

14 Naye akajibu, Kwa amani. Tena akasema, Nina jambo ninalotaka kukuambia. Naye akamwambia, Sema.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Ila, nina jambo moja tu la kukuambia.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Ila, nina jambo moja tu la kukuambia.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Ila, nina jambo moja tu la kukuambia.” Bathsheba akamwambia, “Sema tu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Kisha akaongeza, “Ninalo jambo la kukuambia.” Akajibu, “Unaweza kulisema.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Kisha akaongeza, “Ninalo jambo la kukuambia.” Akajibu, “Waweza kulisema.”

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 2:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Mwanamke akasema, Mwache mjakazi wako, nakusihi, niseme neno moja kwa bwana wangu mfalme. Akasema, Haya nena.


Ndipo Adonia mwana wa Hagithi akaja kwa Bathsheba mamaye Sulemani. Naye akasema, Je! Umekuja kwa amani?


Basi akasema, Wajua ya kwamba ufalme ulikuwa wangu, na Israeli wote wakaniwekea nyuso zao ili mimi nimiliki; lakini sasa ufalme umegeuka kuwa wake ndugu yangu; kwa maana ulikuwa wake kutoka kwa BWANA.


Yesu akajibu akamwambia, Simoni, nina neno nitakalo kukuambia. Akasema, Mwalimu, nena.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo