1 Wafalme 2:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi siku ya kufa kwake Daudi ikakaribia, akamwusia Sulemani mwanawe, akasema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Daudi alipokaribia kufariki, alimwita mwanawe Solomoni, akampa wosia akisema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Sulemani agizo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Siku zilipokaribia za Daudi kufa, akampa mwanawe Sulemani agizo. Tazama sura |