Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 19:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

20 Naye akawaacha ng'ombe, akamfuata Eliya mbio, akasema, Nipe ruhusa, nakuomba, nimbusu baba yangu na mama yangu, kisha mimi nitakufuata. Akamwambia, Nenda, urudi; ni nini niliyokutendea?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Hapo, Elisha akawaacha ng'ombe wake, akamfuata Elia mbio na kumwambia, “Niruhusu kwanza niende kumpa baba yangu na mama yangu busu la kwaheri, kisha nikufuate.” Elia akamjibu, “Nenda! Kwani nimekuzuia?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Hapo, Elisha akawaacha ng'ombe wake, akamfuata Elia mbio na kumwambia, “Niruhusu kwanza niende kumpa baba yangu na mama yangu busu la kwaheri, kisha nikufuate.” Elia akamjibu, “Nenda! Kwani nimekuzuia?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Hapo, Elisha akawaacha ng'ombe wake, akamfuata Elia mbio na kumwambia, “Niruhusu kwanza niende kumpa baba yangu na mama yangu busu la kwaheri, kisha nikufuate.” Elia akamjibu, “Nenda! Kwani nimekuzuia?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Kisha Al-Yasa akawaacha maksai wake, akamkimbilia Ilya, akamwambia, “Niruhusu nikawabusu baba yangu na mama yangu, halafu nitafuatana nawe.” Ilya akajibu, “Rudi zako, kwani nimekufanya nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Kisha Al-Yasa akawaacha maksai wake, akamkimbilia Ilya, akamwambia, “Niruhusu nikawabusu baba yangu na mama yangu, halafu nitafuatana nawe.” Ilya akajibu, “Rudi zako, kwani nimekutendea nini?”

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 19:20
8 Marejeleo ya Msalaba  

Wala hukuniacha niwabusu wanangu, na binti zangu; basi umetenda upumbavu.

Ndipo Petro akajibu, akamwambia, Tazama, sisi tumeacha vyote tukakufuata; tutapata nini basi?

Mara wakaziacha nyavu zao, wakamfuata.

Mara wakaiacha mashua na baba yao, wakamfuata.

Naye Yesu alipokuwa akipita kutoka huko aliona mtu ameketi forodhani, aitwaye Mathayo, akamwambia, Nifuate. Akaondoka, akamfuata.

Wakalia sana wote, wakamwangukia Paulo shingoni, wakambusubusu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo