1 Wafalme 19:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 na baada ya tetemeko la nchi kukawa na moto; lakini BWANA hakuwamo katika moto ule; na baada ya moto sauti ndogo, ya utulivu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Tetemeko likapita, kukawa na moto. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo. Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Tetemeko likapita, kukawa na moto. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo. Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Tetemeko likapita, kukawa na moto. Lakini Mwenyezi-Mungu hakuwemo katika moto huo. Baada ya moto, pakatokea sauti ndogo, tulivu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Baada ya tetemeko la ardhi moto ukaja, lakini Mwenyezi Mungu hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunong’ona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Baada ya tetemeko la nchi ukaja moto, lakini bwana hakuwamo katika ule moto. Baada ya moto ikaja sauti ya utulivu ya kunong’ona. Tazama sura |