1 Wafalme 18:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 Na Obadia alipokuwa njiani, kumbe! Eliya akakutana naye. Akamtambua, akaanguka kifudifudi, akanena, Je! Ni wewe, bwana wangu Eliya? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Obadia alipokuwa njiani, alikutana na Elia; naye Obadia alipomtambua Elia, aliinama chini na kusema, “Kumbe! Ni wewe bwana wangu Elia?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Obadia alipokuwa njiani, alikutana na Elia; naye Obadia alipomtambua Elia, aliinama chini na kusema, “Kumbe! Ni wewe bwana wangu Elia?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Obadia alipokuwa njiani, alikutana na Elia; naye Obadia alipomtambua Elia, aliinama chini na kusema, “Kumbe! Ni wewe bwana wangu Elia?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Obadia alipokuwa akitembea njiani, Ilya akakutana naye. Obadia akamtambua, akasujudu, uso wake ukigusa chini, na kusema, “Je, hivi kweli ni wewe, bwana wangu Ilya?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Wakati Obadia alipokuwa akitembea njiani, Ilya akakutana naye. Obadia akamtambua, akamsujudia hadi nchi na kusema, “Je, hivi kweli ni wewe, bwana wangu Ilya?” Tazama sura |