1 Wafalme 18:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Basi wakaigawanya nchi, ili wapite katika nchi yote; Ahabu akaenda zake njia moja peke yake, na Obadia akaenda zake njia nyingine peke yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Basi, wakagawana nchi ili wapate kuipitia yote; Ahabu akaenda upande mmoja na Obadia upande mwingine. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Basi, wakagawana nchi ili wapate kuipitia yote; Ahabu akaenda upande mmoja na Obadia upande mwingine. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Basi, wakagawana nchi ili wapate kuipitia yote; Ahabu akaenda upande mmoja na Obadia upande mwingine. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa hiyo wakagawanya nchi waliyokusudia kutafuta majani, Ahabu akaenda upande mmoja na Obadia upande mwingine. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa hiyo wakagawanya nchi waliyokusudia kutafuta majani, Ahabu akaenda upande mmoja na Obadia upande mwingine. Tazama sura |