1 Wafalme 18:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Naye akaijenga madhabahu kwa mawe hayo katika jina la BWANA; akafanya mfereji, kama wa vipimo viwili vya mbegu, ukiizunguka madhabahu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Kwa mawe hayo, Elia alimjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akachimba na mtaro kuizunguka madhabahu hiyo; mtaro uwezao kuchukua kama debe moja na nusu la nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Kwa mawe hayo, Elia alimjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akachimba na mtaro kuizunguka madhabahu hiyo; mtaro uwezao kuchukua kama debe moja na nusu la nafaka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Kwa mawe hayo, Elia alimjengea Mwenyezi-Mungu madhabahu, akachimba na mtaro kuizunguka madhabahu hiyo; mtaro uwezao kuchukua kama debe moja na nusu la nafaka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Kwa mawe hayo, akajenga madhabahu katika jina la Mwenyezi Mungu, na akachimba handaki kuizunguka, ukubwa wa kutosha vipimo viwili vya mbegu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Kwa mawe hayo, akajenga madhabahu katika jina la bwana, na akachimba handaki kuizunguka, ukubwa wa kutosha vipimo viwili vya mbegu. Tazama sura |