1 Wafalme 18:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Eliya akasema, Kama BWANA wa majeshi aishivyo ambaye ninasimama mbele zake, hakika nitajionesha kwake leo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: Leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: Leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Elia akamwambia, “Nakuapia kwa jina la Mwenyezi-Mungu wa Majeshi, aishivyo ambaye ninamtumikia: leo hii nitajitokeza mbele ya mfalme.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ilya akasema, “Kama Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni aishivyo, yeye ninayemtumikia, hakika nitajionesha kwa Ahabu leo.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ilya akasema, “Kama bwana Mwenye Nguvu Zote aishivyo, yeye ninayemtumikia, hakika nitajionyesha kwa Ahabu leo.” Tazama sura |