Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 18:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

11 Nawe sasa wasema, Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

11 Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

11 Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

11 Na sasa, wataka niende kumwambia kwamba wewe uko hapa!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

11 Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Ilya yuko hapa.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

11 Lakini sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kusema, ‘Ilya yuko hapa.’

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 18:11
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kama BWANA, Mungu wako, aishivyo, hakuna taifa wala ufalme ambao bwana wangu hakutuma watu wakutafute; na waliposema, Hayupo, akawaapisha ule ufalme, na taifa, ya kwamba hawakukuona.


Na itakuwa, mara mimi nikiondoka kwako, Roho ya BWANA atakuchukua uende nisikojua; nami nitakapokwenda kumwambia Ahabu, naye asipokuona, ataniua, lakini mimi mtumishi wako namcha BWANA tangu ujana wangu.


Nawe sasa wasema, Nenda umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo; basi, ataniua.


Akamjibu, Ni mimi. Nenda, umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo