1 Wafalme 16:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Hivyo Zimri akaiharibu nyumba yote ya Baasha, sawasawa na neno la BWANA, alilolinena juu ya Baasha kwa Yehu nabii, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 ikawa kama alivyosema Mwenyezi-Mungu dhidi ya Baasha, kwa njia ya nabii Yehu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Hivyo, Zimri akawaangamiza jamaa yote ya Baasha, kama Mwenyezi Mungu alivyonena dhidi ya Baasha kupitia kwa nabii Yehu: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Hivyo Zimri akaangamiza jamaa yote ya Baasha, kulingana na neno la bwana lililonenwa dhidi ya Baasha kupitia nabii Yehu: Tazama sura |