1 Wafalme 15:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mwaka wa ishirini wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala juu ya Yuda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mnamo mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala huko Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mnamo mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala huko Yuda. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mnamo mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, Asa alianza kutawala huko Yuda. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Katika mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa akawa mfalme wa Yuda, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Katika mwaka wa ishirini wa utawala wa Yeroboamu mfalme wa Israeli, Asa akawa mfalme wa Yuda, Tazama sura |