1 Wafalme 15:34 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC34 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA akaiendea njia ya Yeroboamu, na kosa lake ambalo kwa hilo aliwakosesha Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema34 Baasha alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kutenda dhambi ileile ambayo aliwafanya watu wa Israeli watende. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND34 Baasha alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kutenda dhambi ileile ambayo aliwafanya watu wa Israeli watende. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza34 Baasha alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, akamwiga Yeroboamu na kutenda dhambi ileile ambayo aliwafanya watu wa Israeli watende. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu34 Akatenda maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, akienenda katika njia ya Yeroboamu na dhambi yake, aliyosababisha Israeli kuitenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu34 Akatenda maovu machoni pa bwana, akienenda katika njia za Yeroboamu na dhambi yake, ambayo alikuwa amesababisha Israeli kuitenda. Tazama sura |