Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wafalme 15:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

33 Katika mwaka wa tatu wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya alianza kutawala juu ya Israeli wote huko Tirza, akatawala miaka ishirini na minne.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya, alianza kutawala Israeli kutoka Tirza. Alitawala kwa muda wa miaka ishirini na minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya, alianza kutawala Israeli kutoka Tirza. Alitawala kwa muda wa miaka ishirini na minne.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Mnamo mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya, alianza kutawala Israeli kutoka Tirza. Alitawala kwa muda wa miaka ishirini na minne.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya akawa mfalme wa Israeli yote huko Tirsa, naye akatawala kwa miaka ishirini na nne.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Katika mwaka wa tatu wa utawala wa Asa mfalme wa Yuda, Baasha mwana wa Ahiya akawa mfalme wa Israeli yote huko Tirsa, naye akatawala kwa miaka ishirini na minne.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 15:33
6 Marejeleo ya Msalaba  

Basi mkewe Yeroboamu akaondoka, akaenda zake, akafika Tirza; naye alipofika kizingitini kwa nyumba, huyo kijana akafa.

Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote.

Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote.

Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA akaiendea njia ya Yeroboamu, na kosa lake ambalo kwa hilo aliwakosesha Israeli.

Katika mwaka wa ishirini na sita wa Asa mfalme wa Yuda, Ela mwana wa Baasha alianza kutawala juu ya Israeli huko Tirza, akatawala miaka miwili.

Wala hapakuwa na vita tena hata mwaka wa thelathini na tano wa kutawala kwake Asa.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo