Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 15:31 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

31 Basi mambo yote ya Nadabu yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

31 Matendo mengine ya Nadabu, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

31 Matendo mengine ya Nadabu, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

31 Matendo mengine ya Nadabu, yote yameandikwa katika Kitabu cha Mambo ya Nyakati ya Wafalme wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

31 Kuhusu matukio mengine ya utawala wa Nadabu na yote aliyoyafanya, je, hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

31 Kwa matukio mengine ya utawala wa Nadabu na yote aliyofanya, je hayakuandikwa katika kitabu cha kumbukumbu za wafalme wa Israeli?

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 15:31
6 Marejeleo ya Msalaba  

Na mambo yake Yeroboamu yaliyosalia, ya kupigana na ya kutawala, tazama, yameandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli.


Na mambo yote ya Ela yaliyosalia, na yote aliyoyafanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?


Na mambo yote ya Zimri yaliyosalia na fitina yake aliyoifanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?


Nayo mambo yote ya Omri yaliyosalia aliyoyatenda, na uthabiti alioufanya, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?


Basi, mambo yote ya Baasha yaliyosalia, na aliyoyafanya, na nguvu zake, je! Hayakuandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli?


Wala hapakuwa na vita tena hata mwaka wa thelathini na tano wa kutawala kwake Asa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo