1 Wafalme 15:30 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC30 kwa sababu ya makosa yake Yeroboamu aliyoyakosa, ambayo kwa hayo aliwakosesha Israeli; kwa sababu ya chukizo lake alilomchukiza BWANA, Mungu wa Israeli, hata kumghadhibisha. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema30 Mambo haya yalifanyika kwa sababu Yeroboamu alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa dhambi yake na kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND30 Mambo haya yalifanyika kwa sababu Yeroboamu alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa dhambi yake na kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza30 Mambo haya yalifanyika kwa sababu Yeroboamu alimkasirisha Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, kwa dhambi yake na kwa kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu30 Haya yalitendeka kwa sababu ya dhambi alizozitenda Yeroboamu, zilizosababisha Israeli kutenda dhambi, na kwa sababu alimkasirisha Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu30 kwa sababu ya dhambi alizokuwa amezitenda Yeroboamu na kusababisha Israeli kuzitenda, tena kwa sababu alimkasirisha bwana, Mungu wa Israeli. Tazama sura |