1 Wafalme 15:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC26 Akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, akaiendea njia ya baba yake, na kosa lake alilowakosesha Israeli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Nadabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; akamwiga baba yake ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Nadabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; akamwiga baba yake ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Nadabu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; akamwiga baba yake ambaye aliwafanya watu wa Israeli watende dhambi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Akafanya maovu machoni pa Mwenyezi Mungu, akienenda katika njia za baba yake na katika dhambi yake, aliyoisababisha Israeli kutenda. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Akafanya maovu machoni pa bwana, akienenda katika njia za baba yake na katika dhambi yake, ambayo alisababisha Israeli kuifanya. Tazama sura |