1 Wafalme 15:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zao zote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mfalme Asa wa Yuda, na mfalme Baasha wa Israeli, walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mfalme Asa wa Yuda, na mfalme Baasha wa Israeli, walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mfalme Asa wa Yuda, na mfalme Baasha wa Israeli, walikuwa na vita kati yao wakati wote walipokuwa wakitawala. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha, mfalme wa Israeli siku zote za utawala wao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Kulikuwa na vita kati ya Asa na Baasha mfalme wa Israeli siku zote za utawala wao. Tazama sura |