1 Wafalme 15:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Basi, Asa akafanya yaliyo mema machoni pa Mungu, kama alivyofanya babaye Daudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mfalme Asa alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Daudi babu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mfalme Asa alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Daudi babu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mfalme Asa alitenda yaliyo mema mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyofanya Daudi babu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Asa akatenda yaliyo mema machoni pa Mwenyezi Mungu, kama alivyokuwa ametenda Daudi, baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Asa akatenda yaliyo mema machoni mwa bwana, kama alivyokuwa ametenda Daudi baba yake. Tazama sura |
Naye Asa akamlilia BWANA, Mungu wake, akasema, BWANA, hapana kuliko wewe aliye wa kusaidia, kati yake yeye aliye hodari, na yeye asiye na nguvu; utusaidie, Ee BWANA, Mungu wetu; kwa kuwa sisi twakutegemea wewe, na kwa jina lako tumekuja juu ya jamii kubwa hii. Ee BWANA, wewe ndiwe Mungu wetu, asikushinde mwanadamu.