1 Wafalme 14:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Twaa mkononi mikate kumi, na kaki, na mtungi wa asali, ukamwendee; naye atakuambia kijana atakuwaje. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Mpelekee mikate kumi, maandazi kadha, na asali chupa moja. Yeye atakuambia yatakayompata mtoto wetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Mpelekee mikate kumi, maandazi kadha, na asali chupa moja. Yeye atakuambia yatakayompata mtoto wetu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Mpelekee mikate kumi, maandazi kadha, na asali chupa moja. Yeye atakuambia yatakayompata mtoto wetu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Chukua mikate kumi, maandazi kadhaa na gudulia la asali na umwendee. Atakuambia kitakachotokea kwa kijana.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Chukua mikate kumi, maandazi kadhaa na gudulia la asali na umwendee. Atakuambia kitakachotokea kwa kijana.” Tazama sura |