1 Wafalme 14:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Ikawa, mwaka wa tano wa mfalme Rehoboamu, akapanda Shishaki, mfalme wa Misri, juu ya Yerusalemu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri, aliushambulia mji wa Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri, aliushambulia mji wa Yerusalemu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Katika mwaka wa tano wa utawala wa Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri, aliushambulia mji wa Yerusalemu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Katika mwaka wa tano wa utawala wa Mfalme Rehoboamu, Shishaki mfalme wa Misri akashambulia Yerusalemu. Tazama sura |