Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wafalme 14:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

18 Israeli wote wakamzika, wakamlilia; sawasawa na neno la BWANA, alilolinena kwa mkono wa mtumishi wake Ahiya nabii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

18 Watu wote wa Israeli wakamzika na kufanya matanga kama alivyosema Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya nabii Ahiya, mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

18 Watu wote wa Israeli wakamzika na kufanya matanga kama alivyosema Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya nabii Ahiya, mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

18 Watu wote wa Israeli wakamzika na kufanya matanga kama alivyosema Mwenyezi-Mungu, kwa njia ya nabii Ahiya, mtumishi wake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

18 Wakamzika na Israeli yote ikamwombolezea, kama Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema kupitia kwa mtumishi wake, nabii Ahiya.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

18 Wakamzika na Israeli yote ikamwombolezea, kama bwana alivyokuwa amesema kupitia mtumishi wake, nabii Ahiya.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 14:18
2 Marejeleo ya Msalaba  

Na Israeli wote watamlilia, na kumzika, kwa maana ndiye peke yake wa Yeroboamu atakayeingia kaburini; kwa sababu limeonekana ndani yake jambo lililo jema kwa BWANA, Mungu wa Israeli, nyumbani mwa Yeroboamu.

Na mambo yake Yeroboamu yaliyosalia, ya kupigana na ya kutawala, tazama, yameandikwa katika Kitabu cha Kumbukumbu za Wafalme wa Israeli.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo