1 Wafalme 13:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 maana ndivyo nilivyoagizwa kwa neno la BWANA, kusema, Usile chakula chochote wala usinywe maji, wala usirudi kwa njia ile uliyoijia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 kwani Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kuja hapa.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 kwani Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kuja hapa.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 kwani Mwenyezi-Mungu aliniamuru nisile chakula au kunywa maji, wala nisirudi kwa njia ileile niliyoifuata kuja hapa.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa kuwa niliagizwa kwa neno la Mwenyezi Mungu: ‘Kamwe usile mkate wala usinywe maji au kurudi kwa njia uliyojia.’ ” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa kuwa niliagizwa kwa neno la bwana: ‘Kamwe usile mkate wala usinywe maji au kurudi kwa njia uliyojia.’ ” Tazama sura |