1 Wafalme 13:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 akamlilia yule mtu wa Mungu aliyetoka katika Yuda, akinena, BWANA asema hivi, Kwa sababu umeiasi kauli ya BWANA, wala hukuishika amri ile aliyokuamuru BWANA, Mungu wako, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 naye akamwambia kwa sauti huyo mtu wa Mungu kutoka Yuda: “Mwenyezi-Mungu asema hivi: ‘Wewe umeacha kutii ujumbe wa Mwenyezi-Mungu; wewe hukufuata amri aliyokupa Mwenyezi-Mungu, Mungu wako. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Akampazia sauti yule mtu wa Mungu aliyekuwa ametoka Yuda, “Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu: ‘Umeasi neno la Mwenyezi Mungu na hukushika amri uliyopewa na Mwenyezi Mungu, Mungu wako. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Akampazia sauti yule mtu wa Mungu aliyekuwa ametoka Yuda, “Hivi ndivyo asemavyo bwana: ‘Umeasi neno la bwana na hukushika amri uliyopewa na bwana Mwenyezi Mungu wako, Tazama sura |