1 Wafalme 12:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Akamweka mmoja katika Betheli, na wa pili akamweka katika Dani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Akaweka sanamu moja ya ndama wa dhahabu mjini Betheli, na ya pili mjini Dani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Akaweka sanamu moja ya ndama wa dhahabu mjini Betheli, na ya pili mjini Dani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Akaweka sanamu moja ya ndama wa dhahabu mjini Betheli, na ya pili mjini Dani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ndama mmoja akamweka Betheli, na mwingine akamweka Dani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ndama mmoja akamweka Betheli na mwingine Dani. Tazama sura |