1 Wafalme 11:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Sulemani akafanya yaliyo mabaya machoni pa BWANA, wala hakumfuata BWANA kwa utimilifu, kama Daudi baba yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hivyo, Solomoni alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, wala hakufuata kwa ukamilifu matakwa ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake Daudi alivyokuwa amefanya. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hivyo, Solomoni alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, wala hakufuata kwa ukamilifu matakwa ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake Daudi alivyokuwa amefanya. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hivyo, Solomoni alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, wala hakufuata kwa ukamilifu matakwa ya Mwenyezi-Mungu kama baba yake Daudi alivyokuwa amefanya. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Kwa hiyo Sulemani akafanya uovu machoni pa Mwenyezi Mungu; hakumfuata Mwenyezi Mungu kikamilifu kama alivyofanya Daudi baba yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Kwa hiyo Sulemani akafanya uovu machoni pa bwana; hakumfuata bwana kikamilifu kama alivyofanya Daudi baba yake. Tazama sura |