1 Wafalme 11:42 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC42 Na siku alizotawala Sulemani katika Yerusalemu juu ya Israeli wote zilikuwa miaka arubaini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Kwa muda wa miaka arubaini, Solomoni aliitawala nchi yote ya Israeli; makao yake yakiwa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Kwa muda wa miaka arubaini, Solomoni aliitawala nchi yote ya Israeli; makao yake yakiwa Yerusalemu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Kwa muda wa miaka arubaini, Solomoni aliitawala nchi yote ya Israeli; makao yake yakiwa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Sulemani alitawala Israeli yote miaka arobaini, akiwa Yerusalemu. Tazama sura |