Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 11:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

35 ila nitauondoa ufalme katika mkono wa mwanawe, nami nitakupa wewe makabila kumi.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

35 Lakini, nitamnyanganya mwanawe ufalme huo, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

35 Lakini, nitamnyanganya mwanawe ufalme huo, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

35 Lakini, nitamnyang'anya mwanawe ufalme huo, nami nitakupatia wewe Yeroboamu makabila kumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

35 Nitauondoa ufalme kutoka mikononi mwa mwanawe na kukupa wewe makabila kumi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

35 Nitauondoa ufalme kutoka mikononi mwa mwanawe na kukupa wewe makabila kumi.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 11:35
7 Marejeleo ya Msalaba  

Walakini katika siku zako sitafanya haya, kwa ajili ya Daudi baba yako; nitaurarua utoke katika mkono wa mwana wako.


Lakini sitauondoa ufalme wote katika mkono wake; bali nitamfanya awe mkuu siku zote za maisha yake, kwa ajili ya mtumishi wangu Daudi niliyemchagua kwa maana alizishika amri zangu na sheria zangu,


Ikawa, Israeli wote waliposikia ya kwamba Yeroboamu amerudi, wakapeleka watu wakamwita aje mkutanoni, wakamfanya mfalme juu ya Israeli wote; wala hapakuwa na mtu aliyeshikamana na nyumba ya Daudi, ila kabila la Yuda peke yake.


Nenda, umwambie Yeroboamu, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Kwa kuwa nilikutukuza miongoni mwa watu, nikakufanya uwe mkuu juu ya watu wangu Israeli,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo