1 Wafalme 11:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wake zake wakamgeuza moyo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Solomoni akawa na wanawake 700, wote mabinti wa kifalme; na masuria 300. Hao wanawake wakampotosha. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Solomoni akawa na wanawake 700, wote mabinti wa kifalme; na masuria 300. Hao wanawake wakampotosha. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Solomoni akawa na wanawake 700, wote mabinti wa kifalme; na masuria 300. Hao wanawake wakampotosha. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Alikuwa na wake mia saba, binti za uzao wa kifalme, na masuria mia tatu; nao wake zake wakampotosha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Alikuwa na wake 700 mabinti wa uzao wa kifalme, na masuria 300, nao wake zake wakampotosha. Tazama sura |