1 Wafalme 11:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Ndipo BWANA akamwinulia Sulemani adui, Hadadi Mwedomi; aliyekuwa wa wazawa wake mfalme wa Edomu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Ndipo Mwenyezi-Mungu akamfanya Hadadi aliyekuwa wa ukoo wa mfalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Ndipo Mwenyezi-Mungu akamfanya Hadadi aliyekuwa wa ukoo wa mfalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomoni. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Ndipo Mwenyezi-Mungu akamfanya Hadadi aliyekuwa wa ukoo wa mfalme wa Edomu, kuwa adui ya Solomoni. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Kisha Mwenyezi Mungu akamwinua adui dhidi ya Sulemani, Hadadi, Mwedomu, kutoka ukoo wa ufalme wa Edomu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Kisha bwana akamwinua adui dhidi ya Sulemani, Hadadi, Mwedomu, kutoka ukoo wa ufalme wa Edomu. Tazama sura |