Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

1 Wafalme 11:10 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

10 akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya Mwenyezi Mungu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya bwana.

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 11:10
3 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo