Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Wafalme 1:49 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

49 Ndipo wageni wote waliokuwa pamoja na Adonia wakaogopa, wakaondoka, wakaenda zao kila mtu njia yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

49 Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

49 Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

49 Basi, wageni wa Adoniya wakaogopa sana, wakaondoka na kutawanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

49 Waliposikia haya, wageni wote wa Adoniya wakainuka kwa hofu na kutawanyika.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

49 Katika hili, wageni wote wa Adoniya wakainuka kwa mshtuko wa hofu na kutawanyika.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 1:49
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na tena, mfalme akasema hivi, BWANA, Mungu wa Israeli, ahimidiwe, aliyenipa leo hivi mtu wa kuketi katika kiti changu cha enzi, nayo macho yangu yakiwa yanaona hayo.


Adonia naye akaogopa mbele ya Sulemani; akaondoka, akaenda, akazishika pembe za madhabahu.


Mwanangu, mche BWANA, na mfalme; Wala usishirikiane na wenye kigeugeu;


Maana msiba wao utatokea kwa ghafla; Tena ni nani aujuaye uharibifu wa miaka yao.


Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo