Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




1 Wafalme 1:46 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

46 Na tena, Sulemani ameketi katika kiti cha enzi cha ufalme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

46 Sasa Solomoni anaketi juu ya kiti cha kifalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

46 Sasa Solomoni anaketi juu ya kiti cha kifalme.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

46 Sasa Solomoni anaketi juu ya kiti cha kifalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

46 Zaidi ya hayo, Sulemani ameketi kwenye kiti chake cha ufalme.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

46 Zaidi ya hayo, Sulemani ameketi juu ya kiti chake cha ufalme.

Tazama sura Nakili




1 Wafalme 1:46
6 Marejeleo ya Msalaba  

Nenda uingie ndani kwa mfalme Daudi, ukamwambie, Je! Hukuniapia mimi mjakazi wako, Ee mfalme, bwana wangu, kusema, Hakika yake Sulemani mwana wako atamiliki baada yangu, na kuketi katika kiti changu cha enzi? Mbona basi anamiliki Adonia?


Basi kwa hiyo, BWANA aishivyo, aliyenithibitisha na kunikalisha katika kiti cha enzi cha Daudi baba yangu, akanifanyia nyumba, kama alivyoahidi, hakika atauawa leo hivi Adonia.


Ndipo Sulemani akaketi katika kiti cha enzi cha BWANA, awe mfalme badala ya Daudi babaye, akafanikiwa; nao Israeli wote wakamtii.


siku zile mfalme Ahasuero alipoketi katika kiti cha enzi cha ufalme wake, huko Susa, mji mkuu ngomeni;


BWANA amemwapia Daudi neno la kweli, Hatarudi nyuma akalivunja, Mmoja wa wazawa wako mwenyewe Nitawaweka katika kiti chako cha enzi.


nami nitakipindua kiti cha enzi cha falme, nami nitaziharibu nguvu za falme za mataifa; nami nitayapindua magari, na hao wapandao ndani yake; farasi na hao wawapandao wataanguka chini; kila mtu kwa upanga wa ndugu yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo