1 Wafalme 1:43 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC43 Naye Yonathani akajibu, akamwambia Adonia, Hakika bwana wetu mfalme Daudi amemtawaza Sulemani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Ndipo Yonathani alipomjibu Adoniya, “Hapana, kwa sababu mfalme Daudi amemtawaza Solomoni kuwa mfalme; Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Ndipo Yonathani alipomjibu Adoniya, “Hapana, kwa sababu mfalme Daudi amemtawaza Solomoni kuwa mfalme; Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Ndipo Yonathani alipomjibu Adoniya, “Hapana, kwa sababu mfalme Daudi amemtawaza Solomoni kuwa mfalme; Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Yonathani akamjibu, “La hasha! Mfalme Daudi bwana wetu amemfanya Sulemani kuwa mfalme. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Yonathani akajibu, “La hasha! Mfalme Daudi bwana wetu amemfanya Sulemani kuwa mfalme. Tazama sura |