1 Wafalme 1:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Naye mfalme akaapa, akasema, BWANA aishivyo, aliyenikomboa roho yangu katika shida zote, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Halafu mfalme aliapa akisema, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Halafu mfalme aliapa akisema, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Halafu mfalme aliapa akisema, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo, aliyekomboa roho yangu katika taabu nyingi, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ndipo mfalme akaapa: “Hakika kama Mwenyezi Mungu aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka kila taabu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ndipo mfalme akaapa: “Hakika kama bwana aishivyo, ambaye ameniokoa kutoka kila taabu, Tazama sura |