1 Wafalme 1:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Basi tazama, alipokuwa katika kusema na mfalme, Nathani, nabii, aliingia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Wakati Bathsheba alipokuwa akizungumza na mfalme, nabii Nathani aliingia ikulu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Alipokuwa angali anazungumza na mfalme, nabii Nathani akafika. Tazama sura |