1 Wafalme 1:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Bathsheba akainama, akamsujudia mfalme. Naye mfalme akamwuliza, Wataka nini? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Bathsheba aliinama, akamsujudia mfalme, naye mfalme akamwuliza, “Unataka nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Bathsheba aliinama, akamsujudia mfalme, naye mfalme akamwuliza, “Unataka nini?” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Bathsheba aliinama, akamsujudia mfalme, naye mfalme akamwuliza, “Unataka nini?” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Bathsheba akainama na kusujudu, uso wake ukagusa chini mbele ya mfalme. Mfalme akauliza, “Ni nini unachokitaka?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Bathsheba akasujudu na kupiga magoti mbele ya mfalme. Mfalme akauliza, “Ni nini hiki unachotaka?” Tazama sura |