1 Wafalme 1:14 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC14 Tazama, wakati ule utakapokuwa katika kusema na mfalme, mimi nami nitaingia nyuma yako, na kuyahakikisha maneno yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Na utakapokuwa bado unaongea na mfalme, mimi nitaingia na kuyathibitisha maneno yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Na utakapokuwa bado unaongea na mfalme, mimi nitaingia na kuyathibitisha maneno yako.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Na utakapokuwa bado unaongea na mfalme, mimi nitaingia na kuyathibitisha maneno yako.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Utakapokuwa ukizungumza na mfalme, nitaingia na kuthibitisha hayo uliyoyasema.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Utakapokuwa ukizungumza na mfalme, nitaingia na kuthibitisha hayo uliyoyasema.” Tazama sura |