1 Timotheo 5:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Mjane asiandikwe isipokuwa umri wake amepata miaka sitini; naye amekuwa mke wa mume mmoja; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Usimtie katika orodha ya wajane mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja tu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Usimtie katika orodha ya wajane mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja tu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Usimtie katika orodha ya wajane mjane yeyote ambaye hajatimiza miaka sitini. Tena awe amepata kuolewa mara moja tu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Mjane yeyote asiwekwe kwenye orodha ya wajane isipokuwa awe ametimiza umri wa miaka sitini, na amekuwa mke wa mume mmoja; Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Mjane yeyote asiwekwe kwenye orodha ya wajane isipokuwa awe ametimiza umri wa miaka sitini, na ambaye alikuwa mke wa mume mmoja, Tazama sura |