1 Timotheo 5:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Vivyo hivyo matendo yaliyo mazuri yako dhahiri; wala yale yasiyo dhahiri hayawezi kusitirika. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Vivyo hivyo, matendo mema huonekana waziwazi, na hata yale ambayo si dhahiri hayawezi kufichika. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale yasiyo dhahiri hayawezi kufichika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Vivyo hivyo, matendo mema yako dhahiri, na hata yale ambayo si mema hayawezi kufichika. Tazama sura |