1 Timotheo 5:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Usikubali mashitaka juu ya mzee, ila kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Usikubali kupokea mashtaka dhidi ya mzee yasipowakilishwa na mashahidi wawili au watatu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Usiendekeze mashtaka dhidi ya mzee isipokuwa yawe yameletwa na mashahidi wawili au watatu. Tazama sura |